
Kwa furaha ya ajabu leo 5/5/2014 nautangazia umma wa Tanzania,Afrika na Dunia kwa ujumla ya kwamba nimeingia Rasimi kwenye siasa kwa hatua ya utendaji ikiwa ni siku moja baada ya kuchukuwa maamuzi haya katika hatua hii muhimu sana
Kwa muda mrefu nilikuwa nikifanya shuhuliza hizi kama mchambuzi na mwanafunzi niliyejifunza vitu kutoka kwa wanasiasa wenzangu walionitangulia na pia nilikuwa nikiandaa mipango,sera, kanuni na falisafa zitakazo niongoza kwenye fani hii muhimu.
Kaulimbiu yangu kubwa ni HAKI,WAJIBU KWANZA.
Falisafa yangu ni; IN THE TRUTH IS WHERE I HIDE MY HEART, (KWENYE UKWELI NDIPO NILIPO UFICHA MOYO WANGU)
KIPAUMBELE CHANGU.
MASILAI YA HAKI YA WANACHI KWANZA.
MY ATTITUDE .
I HAVE BORN TO DELIVER MY PEOPLE FROM SUFFERRING (NIMEZALIWA KUWAKOMBOA WATU WANGU KUTOKA KWENYE MATESO)
CHAMA NITAKACHOFANYA NACHO KAZI.
CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASIA (CHADEMA)
MUONGOZO WANGU
Muongozo wangu mkubwa unatoka katika KATIBA yangu ya KIMAISHA,kitabu cha KIROHO BIBILIA, na KATIBA halali ya nchi au sehemu husika,TARATIBU sahihi na MILA na DESTURI nzuri za jamii yangu na jamii nitakayo fanyanayo kazi.
Mawasiliano yangu.
Email; hakileotanzania@gmail.com Simu +255759859287